16 May, 2008

Best Wishes 4 Exams.

Napenda kuwasalimu wana St.John's wote! Mambo vipi! Naitwa Mdachi Gaspary Donath, B.A. EDUCATION. Nawatakieni mtihani mwema na mafanikio maishani. karibuni sana kwenye utandawazi.